Isaya 34:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Na ni Yeye amewapigia kura, na mkono wake mwenyewe umewagawia mahali hapo kwa kamba ya kupimia.+ Wataimiliki mpaka wakati usio na kipimo; watakaa ndani yake kizazi baada ya kizazi. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 34:17 ip-1 368 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 34:17 Unabii wa Isaya 1, kur. 367-368
17 Na ni Yeye amewapigia kura, na mkono wake mwenyewe umewagawia mahali hapo kwa kamba ya kupimia.+ Wataimiliki mpaka wakati usio na kipimo; watakaa ndani yake kizazi baada ya kizazi.