-
Isaya 44:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Nusu yake kwa kweli anaiteketeza ndani ya moto. Juu ya nusu yake yeye huchoma vizuri nyama ambayo yeye hula, naye hushiba. Yeye pia huota moto na kusema: “Aha! Nimeota moto. Nimeona nuru ya moto.”
-