10 Nao hawatachukua vijiti shambani, wala hawatakusanya kuni misituni, kwa maana watatumia silaha kuwasha mioto.’
“ ‘Nao hakika watawateka nyara wale waliokuwa wakiwateka nyara,+ na kuwapora wale waliokuwa wakiwapora,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.