-
Ezekieli 45:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 “ ‘Na kwa ajili ya mkuu kutakuwako upande huu na upande ule wa mchango mtakatifu na wa miliki ya jiji, mbali na ule mchango mtakatifu+ na ile miliki ya jiji, kitu fulani upande wa magharibi kuelekea magharibi na kitu upande wa mashariki kuelekea mashariki. Nao urefu utakuwa sawasawa na moja kati ya yale mafungu, kutoka mpaka wa magharibi hadi mpaka wa mashariki.+
-