Danieli 3:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Ndipo Mfalme Nebukadneza akaogopa, akasimama haraka. Akawauliza maofisa wake wakuu wa kifalme: “Je, hatukutupa wanaume watatu ndani ya moto wakiwa wamefungwa?”+ Wakajibu na kumwambia mfalme: “Ndiyo, Ee mfalme.”
24 Ndipo Mfalme Nebukadneza akaogopa, akasimama haraka. Akawauliza maofisa wake wakuu wa kifalme: “Je, hatukutupa wanaume watatu ndani ya moto wakiwa wamefungwa?”+ Wakajibu na kumwambia mfalme: “Ndiyo, Ee mfalme.”