-
Danieli 8:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Nami nikamwona akimkaribia yule kondoo-dume, naye akaanza kuonyesha uchungu kumwelekea, akampiga na kumwangusha yule kondoo-dume, akazivunja zile pembe zake mbili, na huyo kondoo-dume hakuwa na nguvu za kusimama mbele yake. Basi akamwangusha katika nchi na kumkanyagia chini, na huyo kondoo-dume hakuwa na wa kumkomboa kutoka mkononi mwake.+
-