-
Danieli 11:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 “Na mwishoni mwa miaka fulani watashirikiana, na binti ya mfalme wa kusini atakuja kwa mfalme wa kaskazini ili kufanya mpango wa usawa. Lakini binti huyo hatabaki na nguvu za mkono wake;+ wala mfalme huyo hatasimama, wala mkono wake; na binti huyo atatolewa, yeye mwenyewe, na wale wanaomleta, na yeye aliyemzaa, na yeye anayemtia nguvu nyakati hizo.
-