-
Luka 3:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Mwaka wa kumi na tano wa kumiliki kwa Tiberio Kaisari, Pontio Pilato alipokuwa gavana wa Yudea, na Herode alipokuwa mtawala wa wilaya ya Galilaya, lakini Filipo ndugu yake alikuwa mtawala wa wilaya wa nchi ya Ituraya na Trakonitisi, na Lisaniasi alikuwa mtawala wa wilaya ya Abilene,
-