-
Luka 10:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Kwa hiyo kaeni katika nyumba hiyo, mkila na kunywa vitu ambavyo wao waandaa, kwa maana mfanyakazi astahili mshahara wake. Msiwe mkihama kutoka nyumba hadi nyumba.
-