-
Luka 13:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 mara mwenye nyumba akiisha kuinuka na kuufunga mlango kwa kufuli, nanyi mwaanza kusimama nje na kubisha hodi kwenye mlango, mkisema, ‘Bwana, tufungulie.’ Lakini kwa kujibu atawaambia nyinyi, ‘Mimi sijui nyinyi mwatoka wapi.’
-