-
Luka 16:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Ndipo akaendelea kuwaambia wanafunzi pia: “Mtu fulani alikuwa tajiri naye alikuwa na msimamizi-nyumba, na huyu alishtakiwa kwake kuwa atumia bidhaa zake kwa kuzipoteza bure.
-