-
Luka 17:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Badala yake, je, hatamwambia, ‘Nitayarishie kitu ili nipate mlo wangu wa jioni, nawe jifunge unihudumie mpaka niwe nimemaliza kula na kunywa, kisha unaweza kula na kunywa’?
-
-
Luka 17:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Badala ya hivyo, je, yeye hatamwambia, ‘Nitayarishie kitu fulani ili mimi nipate mlo wangu wa jioni, nawe vaa aproni unihudumie mpaka niwe nimemaliza kula na kunywa, na baadaye wewe waweza kula na kunywa’?
-