-
Yohana 12:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Kwa hiyo, Maria akachukua ratili moja ya mafuta yenye marashi, nardo halisi, ghali sana, na kupaka miguu ya Yesu naye akaifuta miguu yake kwa nywele zake ili kuikausha. Nyumba ikawa yenye kujawa na mnukio wa mafuta yenye marashi.
-