-
Yohana 12:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 ulichukua matawi ya mitende ukatoka kwenda nje kukutana naye. Nao ukaanza kupaaza sauti: “Okoa, twakusihi! Mbarikiwa ni yeye ajaye katika jina la Yehova, naam, mfalme wa Israeli!”
-