-
Yohana 21:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Tena akamwambia, mara ya pili: “Simoni mwana wa Yohana, je, wanipenda mimi?” Yeye akamwambia: “Ndiyo, Bwana, wajua nina shauku na wewe.” Yeye akamwambia: “Chunga kondoo wangu wadogo.”
-