-
Matendo 2:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Kwa maana Daudi asema kwa habari yake, ‘Nilikuwa na Yehova mbele ya macho yangu daima; kwa sababu yeye yuko kwenye mkono wangu wa kuume ili nisipate kutikiswa kamwe.
-