-
Matendo 10:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Kwa hiyo akawakaribisha na kuwapa makao.
Siku iliyofuata akaondoka na kwenda pamoja nao, na baadhi ya akina ndugu waliokuwa wametoka Yopa wakaenda pamoja naye.
-
-
Matendo 10:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Kwa hiyo akawaalika ndani na kuwapokea.
Siku iliyofuata akainuka na kwenda zake pamoja nao, na baadhi ya akina ndugu waliokuwa wametoka Yopa wakaenda pamoja naye.
-