-
Matendo 13:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Hivyo, basi, tazama! mkono wa Yehova uko juu yako wewe, nawe utakuwa kipofu, bila kuona nuru ya jua kwa kipindi fulani.” Hapohapo ukungu mzito na giza vikaanguka juu yake, naye akaenda akizunguka kutafuta sana watu wa kumwongoza wakiwa wamemshika mkono.
-