-
Matendo 19:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Waliposikia jambo hilo na kujawa na hasira, watu hao wakaanza kupaaza sauti, wakisema: “Artemi wa Waefeso ni mkuu!”
-
-
Matendo 19:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Waliposikia hilo na wakipata kujaa hasira, hao watu wakaanza kupaaza kilio, wakisema: “Ni Mkubwa Artemisi wa Waefeso!”
-