-
Yakobo 1:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Kwa maana jua huchomoza pamoja na joto lalo lenye kuchoma na kunyausha mimea, na ua layo huanguka na ule uzuri wa kuonekana kwalo kwa nje huharibika. Ndivyo, pia, mtu tajiri atakavyonyauka katika njia zake za maisha.
-