-
1 Yohana 2:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Wapendwa, ninawaandikia nyinyi, si amri mpya, bali amri ya zamani ambayo mmekuwa nayo tangu mwanzo. Amri hii ya zamani ni neno ambalo mlisikia.
-