-
1 Yohana 5:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Mtu anayeweka imani yake katika Mwana wa Mungu ana ushahidi ukiwa umetolewa katika kisa chake mwenyewe. Mtu anayekuwa hana imani katika Mungu amemfanya yeye mwongo, kwa sababu hajaweka imani yake katika ushahidi ambao umetolewa, ambao Mungu akiwa shahidi ametoa kuhusu Mwana wake.
-