-
Yuda 10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Lakini watu hawa wanasema kwa maneno yenye kuudhi juu ya mambo yale yote ambayo kwa kweli hawayajui; lakini mambo yale yote ambayo wao wayaelewa kiasili kama wanyama wasiofikiri, katika mambo haya wanaendelea kujifisidi wenyewe.
-