Maelezo ya Chini
c Bakteria zinapoongeza oksijeni kwenye methani, zinafanyiza msombo unaoitwa bikabonati. Msombo huo huungana na molekuli za kalisi zenye chaji zilizo katika maji ya bahari na kutokeza kalisi kabonati, inayoitwa kwa kawaida mawe ya chokaa. Mawe ya chokaa yaweza kuenea kote katika matundu ya maji baridi na katika mabomba yaliyomo.