Maelezo ya Chini
d Linga maneno ya Seneka mtungaji-vitabu Mroma kwa kuhani wa kike mwenye kukosa (kama yalivyonukuliwa na Swete): “Wewe msichana, ulisimama, katika nyumba ya sifa mbaya . . . jina lako lilining’inia kutoka kipaji cha uso wako; ulikubali fedha kwa fedheha yako.”—Controv. i, 2.