Maelezo ya Chini
b Yesu si mmoja wa wenye kufanya lile agano jipya. Yeye ndiye Mpatanishi walo na hana dhambi zinazohitaji msamaha. Zaidi ya hilo, yeye hahitajiwi kabisa na agano hilo kwamba awe mfalme-kuhani, kwa maana yeye ni mfalme kulingana na lile agano la Kidaudi na pia ni kuhani kama Melkizedeki.