Maelezo ya Chini
d Zamani viriba vilitengenezwa kutokana na ngozi ya kondoo, mbuzi, na ng’ombe. Maziwa, siagi, jibini, au maji yalitiwa katika viriba hivyo. Viriba vilivyotengenezwa kwa ngozi iliyotayarishwa kwa njia ya pekee vilitumiwa kubebea mafuta au divai.