-
Mtegemee Yehova Ili Kupata FarajaMnara wa Mlinzi—1996 | Novemba 1
-
-
Alipokuwa akitangaza hukumu ya kifo, Mungu alitaarifu hivi pia kwa Adamu: “Ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako; michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni.” (Mwanzo 3:17, 18) Hivyo Adamu na Hawa wakapoteza lile taraja la kuifanya dunia ambayo haikuwa imelimwa iwe paradiso. Wakiwa wamefukuzwa kutoka Edeni, walilazimika kutumia nishati zao ili kujitahidi kupata chakula kutoka kwenye ardhi iliyolaaniwa.
-
-
Mtegemee Yehova Ili Kupata FarajaMnara wa Mlinzi—1996 | Novemba 1
-
-
Noa na familia yake lazima wawe walihisi wametulizwa kama nini baada ya hilo Furiko walipokuwa wakitoka nje ya safina na kuingia dunia iliyosafishwa! Ilifariji kama nini kukuta kwamba ile laana juu ya ardhi ilikuwa imeondolewa, ikifanya utendaji wa kilimo uwe rahisi zaidi sana! Kwa kweli, unabii wa Lameki ulithibitika kuwa kweli, na Noa aliishi kulingana na maana ya jina lake. (Mwanzo 8:21)
-