-
Sahihi KisayansiMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
MFANO: Sheria ya Musa iliwaamuru Waisraeli wachimbe na kufunika mavi yao “nje ya kambi.” (Kumbukumbu la Torati 23:12, 13)
-
-
Sahihi KisayansiMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
MAMBO AMBAYO TIBA YA KISASA IMETHIBITISHA: Kuondoa kinyesi kwa njia inayofaa, kunawa mikono, na kutenga wagonjwa bado ndiyo njia bora ya kupambana na magonjwa. Ikiwa hakuna vyoo karibu au mfumo wa kuondoa maji machafu na takataka, Vituo vya Kudhibiti Magonjwa ya Kuambukiza vya Marekani (CDC) vinatoa ushauri huu: “Funika mavi angalau mita 30 hivi kutoka mahali penye maji.” Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, watu wanapohakikisha kwamba wanaondoa kinyesi kwa njia inayofaa, wanapunguza magonjwa ya kuharisha kwa asilimia 36.
-