-
Aliwatetea Watu wa MunguMnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 1
-
-
Hamani alizungumza na mfalme na kufanya Wayahudi waonekane kuwa watu wabaya. Bila kuwataja Wayahudi moja kwa moja, alisema wao si watu wa maana na kwamba “wa[me]tawanyika na kujitenga kati ya vikundi vya watu.” Hata alisema kwamba hawakuheshimu sheria za mfalme; hivyo, walikuwa waasi hatari.
-