-
Wokovu Unahitajiwa!Mnara wa Mlinzi—2008 | Machi 1
-
-
“Mwanadamu, aliyezaliwa na mwanamke, ana maisha mafupi na yenye kujaa msukosuko. Amechanuka kama ua na kukatiliwa mbali, naye hukimbia kama kivuli wala haendelei kuwako.” (Ayubu 14:1, 2)
-
-
Wokovu Unahitajiwa!Mnara wa Mlinzi—2008 | Machi 1
-
-
Iwe unakubali au hukubali maoni ya Ayubu kuhusu maisha na kifo, huwezi kuepuka uhakika wa kwamba miaka inaposonga, wewe pia ‘utakimbia kama kivuli,’ mbali sana kutoka kwa marafiki wako, familia yako, nyumbani kwenu, na kuacha vitu vyote ulivyotimiza—utakapokufa.
-