-
Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku ZetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
18, 19. (a) Inamaanisha nini “kuzihesabu siku zetu, tujipatie moyo wa hekima”? (b) Kutumia hekima kutatuchochea tufanye nini?
18 Mtunga-zaburi anaendelea kuimba: “Ni nani aujuaye uweza wa hasira yako? Na ghadhabu yako kama ipasavyo kicho chako [“hofu yako,” “NW”]?
-
-
Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku ZetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Hakuna yeyote kati yetu anayejua kikamili uweza wa hasira ya Mungu au kiasi cha ghadhabu yake, jambo linalopasa kuzidisha hofu yenye staha kwa Yehova. Naam, jambo hilo linapasa kutuchochea kumwomba atujulishe “[jinsi tunavyoweza] kuzihesabu siku zetu, tujipatie moyo wa hekima.”
-