-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
wala tauni ipitayo gizani, wala uele uharibuo [“maangamizi yaharibuyo,” “NW”] adhuhuri.” (Zaburi 91:5, 6)
-
-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Isitoshe, sisi hatuogopi “tauni ipitayo gizani.” Hii ni tauni ya mfano inayosababishwa na giza la ulimwengu huu ulio mgonjwa kiadili na kiroho ambao unakaa katika nguvu ya Shetani. (1 Yohana 5:19) Tauni hiyo hutokeza hali yenye kudhuru sana akili na moyo, ambayo huzuia watu wasimjue Yehova, makusudi yake, na maandalizi yake ya upendo. (1 Timotheo 6:4) Katikati ya giza hilo, sisi hatuogopi, kwa kuwa tuna nuru nyingi sana ya kiroho.—Zaburi 43:3.
11. Ni nini hutukia kwa wale ambao hupatwa na ‘uharibifu wa adhuhuri’?
11 Hatuogopi “maangamizi yaharibuyo adhuhuri.” “Adhuhuri” yaweza kumaanisha ule uitwao eti ujuzi wa ulimwengu. Wale ambao hufuata maoni ya ulimwengu kuhusu vitu vya kimwili huangamia kiroho. (1 Timotheo 6:20, 21) Tutangazapo kwa ujasiri ujumbe wa Ufalme, hatuogopi yeyote kati ya adui zetu, kwa kuwa Yehova ndiye Mlinzi wetu.—Zaburi 64:1; Mithali 3:25, 26.
-