-
‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
-
-
‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wameketi kati ya makaburi,hiyo ikiwafanya wawe wachafu kulingana na Sheria.(Hesabu 19:14-16)Wanakula nyama ya nguruwe, chakula kichafu.a (Mambo ya Walawi 11:7)
-
-
‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
a Watu wengi wanafikiri kwamba watenda dhambi hawa walikuwa kati ya makaburi wakijaribu kuwasiliana na wafu. Kula kwao nyama ya nguruwe huenda kukawa kulihusiana na ibada ya sanamu.
-