-
Msiogope AshuruUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
13. Tambulisha na utaje kinachotukia kwa (a) “walionona.” (b) ‘mbigili na miiba.’ (c) “utukufu wa msitu wake.”
13 Ni nini kitakachompata Ashuru? “Bwana, BWANA wa majeshi, atawapelekea kukonda watu wake walionona; na badala ya utukufu wake kutawashwa kuteketea kama kuteketea kwa moto.
-
-
Msiogope AshuruUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Naam, Yehova atachonga-chonga “fimbo” hiyo ya Ashuru! “Walionona” katika jeshi la Ashuru, wanajeshi wake hodari, wataambukizwa ugonjwa wa “kukonda.” Hawataonekana kuwa na nguvu hivyo!
-