-
Shauri la Yehova Dhidi ya MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
19. Yehova atakemea nani, na jambo hilo litamaanisha nini kwao?
19 Kuna tofauti iliyoje kati yao na wale wanaomtumaini binadamu awezaye kufa! Mawimbi yenye michafuko ya jeuri na misukosuko hupiga binadamu katika siku hizi za mwisho. “Bahari” ya binadamu wasiotulia, wenye kuasi, hutokeza kutoridhika na mapinduzi. (Isaya 57:20; Ufunuo 8:8, 9; 13:1)
-