-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ndiyo sababu laana imeila dunia hii, na hao wanaoikaa wameonekana kuwa na hatia, ndiyo sababu watu wanaoikaa dunia wameteketea, watu waliosalia wakawa wachache tu.” (Isaya 24:4-6)
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Laana ya Yehova ‘ingeila nchi hiyo.’ (Kumbukumbu la Torati 28:15-20, 38-42, 62, 63) Basi Yuda lazima itarajie kupatwa na laana hiyo.
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Basi, watu hao wataondolewa nchini humo. Hukumu inayokuja haitakuwa na rehema yoyote. ‘Watakaodhoofika’ kwanza baada ya Yehova kuondoa ulinzi na upendeleo wake ni “wakuu,” watu mashuhuri. Kwa utimizo wa hayo, uharibifu wa Yerusalemu ukaribiapo, kwanza Wamisri wawafanya wafalme wa Yuda kuwa vibaraka wao, kisha Wababiloni nao wafanya vivyo hivyo. Baadaye, Mfalme Yekonia na washiriki wengineo wa familia ya kifalme ni miongoni mwa watu wa kwanza kupelekwa utekwani Babiloni.—2 Mambo ya Nyakati 36:4, 9, 10.
-