-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hofu, na shimo, na mtego, vi juu yako, Ee mwenye kukaa duniani.
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Adui kutoka nje wataingia na kuwapora na kuwateka nyara. Hayo yote yamtaabisha sana Isaya.
17. (a) Kwa nini haitawezekana kuponyoka? (b) Nguvu za hukumu ya Yehova ziachiliwapo kutoka mbinguni, ni nini kitakachotukia nchini?
17 Ijapokuwa hivyo, ni lazima nabii atangaze kuwa haitawezekana kuponyoka. Kokote watakakojaribu kukimbilia watu, watakamatwa. Huenda wengine wakaponyoka msiba mmoja, lakini watanaswa katika mwingine—usalama hautakuwapo.
-