-
Mkono wa Yehova WainuliwaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hata hivyo, wakati wa Yehova wa kuwakomboa watu wake kutoka utekwani wafika. Awaweka huru kama vile mkulima awezavyo kuweka huru zeituni zilizofungwa mitini kitamathali. “Itakuwa katika siku hiyo, BWANA atayapiga-piga matunda yake toka gharika ya Mto [Frati] hata kijito cha Misri, nanyi mtakusanywa mmoja mmoja, enyi wana wa Israeli.
-