-
Endelea Kumngojea YehovaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
20 “Atatoa mvua juu ya mbegu zako, upate kuipanda nchi hii; na mkate wa mazao ya nchi, nayo itasitawi na kuzaa tele; katika siku hiyo ng’ombe zako watakula katika malisho mapana.
-
-
Endelea Kumngojea YehovaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Nchi itazaa kwa wingi sana hivi kwamba hata wanyama watafaidika. Mifugo italishwa “chakula kilichokolea”—nyasi inayohifadhiwa kwa ajili ya vipindi maalumu.
-