-
Mfalme na Wakuu WakeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Watajipiga vifua kwa ajili ya mashamba mazuri, kwa ajili ya mzabibu uliozaa sana. Juu ya nchi ya watu wangu itamea michongoma na mibigili; naam, juu ya nyumba za furaha katika mji ulio na shangwe.” (Isaya 32:11b-13)
-
-
Mfalme na Wakuu WakeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hakuna matendo yoyote ya kimungu yawezayo kuonwa miongoni mwa mashirika ya kidini ya Jumuiya ya Wakristo, inayojidai kuwa “mji [wa Mungu] ulio na shangwe,” wala miongoni mwa washiriki wengine wa milki ya ulimwengu ya dini isiyo ya kweli. Eneo lao la utendaji humea tu “michongoma na mibigili” ambayo ni ishara ya kupuuzwa na kuachwa.
-