-
Wenye Kufariji UnaokuhusuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Nitafunua vijito vya maji juu ya vilima, na chemchemi katikati ya mabonde; nitageuza jangwa kuwa ziwa la maji, na mahali pakavu kuwa vijito vya maji.
-
-
Wenye Kufariji UnaokuhusuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Naye Yehova anawabariki. Katika unabii wa baadaye, Isaya anatabiri hivi: “BWANA ameufariji Sayuni; amepafariji mahali pake palipokuwa ukiwa; amefanya jangwa lake kuwa kama bustani ya Edeni, na nyika yake kama bustani ya BWANA.” (Isaya 51:3) Hilo linatukia kikweli Wayahudi wanaporudi kwao.
-
-
Wenye Kufariji UnaokuhusuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Waaminifu hao walibarikiwa kwa paradiso ya kiroho yenye utele, bustani ya Edeni ya mfano. (Isaya 11:6-9; 35:1-7) Karibuni, Mungu atakapoharibu adui zake, dunia nzima itageuzwa iwe paradiso halisi, sawa na vile Yesu alivyomwahidi mtenda-maovu juu ya ule mti.—Luka 23:43.
-