Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumtambua Mjumbe wa Aina Inayofaa
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Mei 1
    • 10. Sairasi alikuwa “mtiwa-mafuta” kwa njia gani, na Yehova angeweza kusemaje naye miaka zaidi ya mia moja kabla ya kuzaliwa kwake?

      10 Ona kwamba Yehova anasema na Sairasi kana kwamba tayari yuko hai. Hilo lapatana na taarifa ya Paulo kwamba Yehova “huita mambo yasiyokuwako kama kwamba yamekuwako.” (Waroma 4:17) Pia, Mungu amtambua Sairasi kuwa “mtiwa-mafuta” wake. Kwa nini alifanya hivyo? Kwa vyovyote, kuhani wa Yehova wa cheo cha juu hakutia kamwe mafuta matakatifu kwenye kichwa cha Sairasi. Ni kweli, lakini huku ni kutiwa mafuta kwa kiunabii. Huonyesha kuwekwa rasmi, kuingizwa katika cheo cha pekee. Kwa hiyo Mungu angeweza kusema juu ya tendo lake la kumweka rasmi Sairasi kimbele kuwa kama kutiwa mafuta.—Linganisha 1 Wafalme 19:15-17; 2 Wafalme 8:13.

  • Kumtambua Mjumbe wa Aina Inayofaa
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Mei 1
    • Usiku huo wa maana, walevi waliokuwa wakinywa humo Babiloni waliacha bila kujali ile milango yenye sehemu mbili kandokando ya sehemu ya jiji iliyokuwa ikikabili Frati.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki