-
Yehova—“Mungu Mwenye Haki, Mwokozi”Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Yehova Hukunjua Rehema Yake
23. Kuna matokeo gani kwa wale wanaoabudu sanamu, na wale wanaomwabudu Yehova wanakuwa na hali gani?
23 Wokovu wa Israeli unakaziwa katika maneno ya Yehova yanayofuata: “Jikusanyeni mje; na kukaribia pamoja, ninyi wa mataifa mliookoka; hawana maarifa wale wachukuao mti wa sanamu yao ya kuchonga; wamwombao mungu asiyeweza kuokoa.
-
-
Yehova—“Mungu Mwenye Haki, Mwokozi”Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Yehova anawaagiza ‘waliookoka’ waulinganishe wokovu wao na kile kinachowapata wanaoabudu sanamu. (Kumbukumbu la Torati 30:3; Yeremia 29:14; 50:28) Kwa sababu waabudu-sanamu husali na kutumikia miungu hoi isiyoweza kuwaokoa, “hawana maarifa.” Ibada yao ni ya bure—bure bilashi.
-