-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!”—Isaya 5:18-20.
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Badala ya kuitii Sheria ya Mungu, wao hupotoa mambo, wakitangaza kuwa “uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu.”—Linganisha Yeremia 6:15; 2 Petro 3:3-7.
27. Wakristo leo waweza kuepukaje mtazamo kama ule wa Waisraeli?
27 Ni lazima Wakristo leo waepuke kabisa-kabisa mtazamo kama huo. Kwa kielelezo, wao huyakataa maoni ya ulimwengu yanayosema kwamba uasherati na ugoni-jinsia-moja ni sawa. (Waefeso 4:18, 19)
-