-
‘Imbeni Pamoja kwa Shangwe’!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Maana hamtatoka kwa haraka [“kubabaika kwa hofu,” “NW”], wala hamtakwenda kwa kukimbia, kwa sababu BWANA atawatangulia; na Mungu wa Israeli atawafuata nyuma; awalinde.” (Isaya 52:11, 12)
-
-
‘Imbeni Pamoja kwa Shangwe’!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Isitoshe, Yehova anawatangulia, kwa hiyo si lazima wababaike kwa hofu, wala si lazima wapige mbio kwa bumbuazi, kana kwamba watu wenye hamu ya kumwaga damu wanatifua vumbi wakiwafuata hima-hima. Mungu wa Israeli yuko kama mlinzi nyuma yao.—Ezra 8:21-23.
-