-
Yule Mwanamke Tasa AshangiliaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
19, 20. (a) Agano la upinde wa mvua ni nini, na linawahusuje wahamishwa walioko Babiloni? (b) ‘Agano la amani’ huwapa Wakristo watiwa-mafuta uhakikisho gani leo?
19 Sasa Yehova anawatolea watu wake uhakikisho wenye faraja: “Nitafanya kama nilivyofanya wakati wa Noa: wakati ule niliapa kwamba sitaifunika tena ardhi kwa gharika. Basi sasa naapa kwamba sitakukasirikia tena wala sitakukemea tena.
-
-
Yule Mwanamke Tasa AshangiliaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Baada ya Gharika, Mungu alifanya agano—ambalo nyakati nyingine huitwa agano la upinde wa mvua—pamoja na Noa na kila nafsi nyingine iliyo hai. Yehova aliahidi kutoleta uharibifu tena juu ya dunia kwa kutumia furiko la duniani pote. (Mwanzo 9:8-17) Hiyo inamaanisha nini kwa Isaya na watu wake?
20 Inafariji kujua kwamba adhabu ambayo ni lazima iwapate—ule uhamisho wa miaka 70 katika Babiloni—itatukia mara moja tu. Ikimalizika, haitatukia tena.
-