-
Yehova Ahuisha Roho ya WanyenyekevuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
ninyi mnaowasha tamaa zenu kati ya mialoni, chini ya kila mti wenye majani mabichi; ninyi mnaoua watoto mabondeni, chini ya mianya ya majabali?”—Isaya 57:4, 5.
-
-
Yehova Ahuisha Roho ya WanyenyekevuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wakiwa kule nje mashambani, miongoni mwa miti mikubwa, wanachochea vishindo vingi vya kidini katika ibada ya sanamu. Nayo ni ibada ya ukatili we! Kwani, hata wanachinja watoto wao wenyewe kama yale mataifa yaliyofukuzwa na Yehova nchini kwa sababu ya machukizo yao makubwa!—1 Wafalme 14:23; 2 Wafalme 16:3, 4; Isaya 1:29.
-