-
Mambo Makuu Katika Kitabu cha HoseaMnara wa Mlinzi—2007 | Septemba 15
-
-
2:21-23—Maneno haya ya Yehova yalitabiri nini: “Hakika nitampanda [Yezreeli] duniani kama mbegu kwa ajili yangu, nami nitamwonyesha rehema”? Jina la mwana wa kwanza wa Hosea na Gomeri lilikuwa Yezreeli. (Hosea 1:2-4) Jina hilo linalomaanisha “Mungu Atapanda Mbegu,” ni unabii wa kuonyesha jinsi Yehova angewakusanya mabaki waaminifu mwaka wa 537 K.W.K. na kuwapanda kama mbegu katika nchi ya Yuda.
-
-
Mambo Makuu Katika Kitabu cha HoseaMnara wa Mlinzi—2007 | Septemba 15
-
-
Mtume Paulo na Petro walitumia Hosea 2:23 kuhusiana na kukusanywa kwa mabaki ya Israeli wa kiroho.—Waroma 9:25, 26; 1 Petro 2:10.
-