-
Alijifunza Kuwa Mwenye RehemaMnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
-
-
Aliamuru kwamba watu wote na pia wanyama wa kufugwa wavae nguo za magunia.c Alikiri kwa unyenyekevu kwamba watu wake walikuwa na hatia ya kutenda mabaya na jeuri.
-
-
Alijifunza Kuwa Mwenye RehemaMnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
-
-
c Huenda jambo hilo likashangaza, lakini lilitukia katika siku za kale. Mwanahistoria Mgiriki Herodoto alisema kwamba Waajemi wa kale waliomboleza kifo cha jenerali maarufu kwa kuhusisha wanyama wa kufugwa katika desturi za kuomboleza.
-